GAMBO AMKIMBIA MAKONDA KWENYE BARAZA, MADIWANI WAMWAGA MACHOZI WATAKA MAKONDA AGOMBEE UBUNGE ARUSHA.
HTML-код
- Опубликовано: 13 апр 2025
- Madiwa wa halmashauri ya Jiji la Arusha wameshangazwa na kitendo cha Mbunge wao kuvua Joho na kulaza mbio baada ya kusikia ujio wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda kwenye kikao hicho cha baraza la madiwani.
Aidha Mkuu wa Mkoa aliwataka madiwani hao huwa na maamuzi magumu katika kufanya maamuzi ya maendeleo na kushangazwa na Tendo la kupelekwa Mkuu wa Wilaya katika mkutano wa wananchi na kuambiwa tuhuma ambazo yeye hazijui kwa nia ya kupigana shoti.
Kufuatia hatua hiyo Makonda amegeuka mbogo na kumkataza Dc wake kuhudhuri vikao vya Mbunge tena kama havina yija kwa wananchi na maendeleo.
@ITVTanzaniaTz @ikulutanzania255 @CLOUDSMEDIA @azamtvtz @CrownMediaTZ @TBC_Online @kitengetv @samiaTV @manaratv__ @Wasafi_Media @NgorongoroConservationArea @tanapapoen @UTALIITV1
Makonda na mfananisha na hayat Eduward moringe sokoine.mungu amtie nguvu afya njema na Allah akupe ulinzi.itakapo mpendaza mungu wakat atakao uona mwenyez mungu uje uwe rais wa nchi hii.makonda ni taore wa bukinabe
Makonda Ni kiongonzi tovauti Sana Na wangine mungu Akulinde Na Wana Arusha tushikane wote kumuopea makonda Na tuupe Kura Awe mbunge wa Arusha Atutoe Kwa shida ya miaka Naenda Rudi pia Abaki Tu kuwa mkuu wa Arusha tu
Big up bro Makonda daaah
Nakushauri mwanangu Makonda achana na ubunge wa Arusha
Ubunge kwako ni kitu kidogo sana.
Unafaa UONGOZI mkubwa.
Mawazo yangu lkn yafanyie kazi
Watu wanataka uwaziri mzee, hakuna kitu kidogo hapo 😅
Tena makonda at urais unamfaa
Watu wanalenga uwaziri ndugu mana huwezi kuwa waziri bila kupitia ubunge
Ubunge njia ya uwaziri na uwaziri njia ya urais hivyo makonda anatakiwa kuwa mbunge
Mungu tulinde watanzania na nchi yetu,hongera mkuu wetu wa mkoa Makonda Mungu akulinde daima uwe na afya njema siku zote
Mh. Makonda endelea na kuchapa kazi baba Mungu atakulipa.Endelea na Ukuu wa Mkoa.Allah atakulipa
Mungu mbariki Makonda huyu umpe maisha utakayo wewe sisi wananchi tunaimani sana nayeye
Makonda ni ras wetu hatakama iweje👍
Makonda kiongozi bora sana tena sana
Yaani Makonda anafaa kugombea uku wa nchi nzima ya tanzania
mungu akulinde makonda,akuweke mbali na watu wabaya wew ni mpenda hakii❤
Makonda ubarikiwe sana❤❤
Good speech congratulations to you my God bless you
Mkuu Mungu akulinde sana wewe ni mkuu
Mungu akulinde Kaka mana huna baya jina lako limeimbwa sana Makonda
We need several leaders like Makonda in this country. Big up Christian❤
Makonda chukua ubunge kaka tunatamani tukuone mjengoni Mungu akusimamie na akuongoze.
Makonda baba tuwekee lami kutoka Fanretreat mpaka kiserian madukani na usogeze haisi zifike mpaka Muungano kuna wananchi tunateseka kule baba.asante mkuu na fom chukua mitano unayo
Makonda Yuko vizur sana na mtendaji anayejiamin anachokifanya Yuko vizur sana makonda
Gambo kazini kwake kuna kazi😊
gombea ubunge mama akupe uwaziri wa tamisemi au ulinzi mpaka maji waite mmaaaa😂😂😂😂
NDARIPHOI AMELIA 😮😮,DUU, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
Labda chadema wapo hapi
Hili neno sauti ya Mungu ni sauti ya wengi mnalitoa kwenye maandiko gani?(maana hata Yesu alisurubiwa kwa sauti ya wengi)
Akili nyingi sana Makonda. Ww ni kiongozi bora sana.
Sema Arusha hawaaminiki namuomba Makonda atulie kwenye cheo chake hicho hicho.
Wanaosema mamkonda agombee ubunge. Akipata ubunge.hatakuwa na mamlaka ya kutoa amri ya wizi kukamatwa,kucmamisha kazi.muacheni hpohpo.ndo atawaweza watumishi.akiwa mbunge hanauwezo wa kupambna na mkurungenzi.
Hapo ni siasa tu na tatizo ni ubunge
Alieskia neno pamoja na wewe😂😂😂😂🙌
Wewe ni Traore ajae Tanzania
Team zimeanz kuundwa za kuwagawa watu mbunge huwez kumdhihaki hv mbele za watu hv
Sahau kueka alama kwa vitendo vyako
Ubunge kwa makonda ni cheo ndogo sana mheshimiwa hiyo nafac ya ubunge haikustahili broo bor ubaki kwenye nafac ya uteuzi hata kua waziri inakustahili ila so ubunge
Hbr ndg.
Uwaziri bila Ubunge uwezi kwaiyo tumuombee awe na namawazo ayo. Hta mm nataka nimuone makonda Yuko juu sn kwny nchi hii.
C uwe tu raisi bb❤❤
Arusha mmevunja record jitu zima linamwaga michozi huo ni unafiq wa kupitiliza mtajutia siku si nyingi.
Hivi Rais huyo Gambo amekupa Nini mama yetu ebu wananchi wamtoe huyo gambo
Mungu ampe nguvu Makonda Mama Samia nakuomba Mhe Makonda agombee Ubunge Arusha
Makonda ni kiongozi makini sana
Samia amekiona kilio chenu madiwani, MAKONDA MAKONDA 🔥🏹 mbunge huyoooo Arusha
Wenyewe kwa wenyewe wanakulana gambo huyo yaone Sasa ulikua unawasumbua sana chadema we
Kila kitu kinamwanzo na mwaisho,hata makonda anamwishowake tu,Gambo alimtesa sana Lema asiye na hatia sahiv na yeye anakimbia kumbe,safi kabisa,kama makonda atatend haki basi atadumu lkn akianza kunyanyas wapinzani hana muda hapo Arusha.
Kwaio unalaani au unasema
Njia upo Gizani,haki nakuakikishia kumwita kiongoz mwendawazimu,tatari umeshaanguka kipindi kijacho we sio diwani,hiyo sio nidham ya kiongoz
Mungu yupi watu wa ccm wanayemjua,,?
Mzee wa watu yani unalia hadharani kama demu duuu jamani tanzania yetu baadhi ya viongozi mtihani.
Mheshimiwa Makonda ww ni Mungu Tuu Amekuweka hp,Unaongea Ukweli kbs Mungu Akulinde Mkuu 🙏🙏
Movement forchange🔥🔥✌️
Mtatoanaroho wenyewe kwa wenyewe ukisikia kabari za chini yamaji ndio hizi unapigwa kabari unajsmba juu yanakuja mapovu.YES.
Tunaelekeq kwenye uchwguzi, Ndiyo tunawakumbuka wanainchi usanii huu sijuwi utatufikisha wwpi?
Wanakumbuka Shaka wakati kumekucha
Sio kwa huyu
Huyu ndiye waziri mkuu wa Tanzania au raisi wa tanzania au makamu wa raisi wa tanzania (Horn . P. Makonda piga wezi)
@@feliciarfrancis2388 2030 nafasi ni yake
Hao ni machawa
🎉🎉🎉🎉🎉 wacha nikupe mauwa yako
Makonda, we need your presence in Morogoro. Here we have leaders who do not do well.
We have roads that have stayed a long long time without completing...
Makonda juuu,naokuombea uje kuwa kiongozi mkubwa sana hpa tanzania
makonda tunamtaka huku nyumbani mwanza jimbo la nyamagana huko hamna utajichanganya hao watu siwaelewagi kivile wako kigeugeu watakukoli mwisho wa siku wanakuacha kwenye mataa.
Njoo itilima tunakupenda sana kiongozi wetu kipenzi
Makonda hao unaongea ni watu wa Genji. Usijaribu kigombania Ubunge wa fitna sana hapa arusha..Ingia bunged uone balaa Lao mamluki hapo
Achukue fomu awe mbunge, kumbe mbunge mkubwa kuliko mkuu wa Mkoa?? Mm nadhan aendelee kuwasaidia katika nafasi ya RC maana analeta faina kwa majimbo zaidi ya 10
Shida wajumbe 😂
Kwenye hili hatuwaungi mkono madiwani wa Arusha,swale la kumsimanga mbunge hadharani ni la kujikomba kwa mkuu wa mkoa ili awapende na amchukie mbunge na kwa hili ham rudi ila mbunge tutamrudisha ndipo mtatujua wananchi tunanguvu ninyi hamna vikao ndani ya chama cha ccm mbunge
Siku moja mheshimiwa Makonda nataka nikuone ukiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Endelea kuota
Mzee anaelia mbn kama kalewa 😂
hahahaha 🤣🤣🤣🤣
Vita ya ndani kwa ndani😂😂
halafu wote ccm watupu hapo shamba la mzee heri na mbuzi wamzee heri kudadadeki
Madiwani mnamdanganya huyo Makonda, ARUSHA hapiti huyo yatamkuta ya Kigamboni, na ninyi madiwani mliopita kwa upepo wa Magufuli wengi 85% hamtarudi hivyo msimdanganye Makonda akaingia aibu. Makonda hapo unajiingiza Chaka achana na GAMBO kama unataka kuinjoi Ars. Huu ni ukweli nakupa najua hii utaisoma.
Makonda toka ccm jiunge na chadema mwanangu huko hutaweza
Mh. Makonda nakushauri usije ukaingia mkenge kugombea ubunge. Baki kuwa na nafasi ya uteuzi ina heshima.
Nafasi ya mkuu wa mkoa unamtawala hadi mbunge wa majimbo ya mkoa wapo chini yako.
USIGOMBEE UBUNGE
,,Tamaha kutaka uwaziri na Kugombea Uraisi
MKUU NAKUPONGEZA SANA MKUU ,UMEONGEA POINT
Ama kwa hakika watu huko ni wanafiq laytil khiyas.
Tumpate makonda mbeya japo homela naye anafaa sana jamani
Anatufaa kuwa kiongoz wa wote ususan rais
Chukuwa fomu makonda ww mchapa kazi sana
Makondaa hongera sana
Wapumbavu mko wengi hii nchi
USHAURI WANGU MAKONDA ASIGOMBEE UBUNGE ABAKI ALIPO ILI AONDOE HUO UOZO AKIWA MBUNGE HATAWEZA KUFANYA HAYO ANAYOFANYA. TUSISHABIKIE UBUNGE KESHO MTAMSIMANGA MTAMUONA KAMA ALIVYO MBUNGE ALIYEKO MRISHO GAMBO.
Msifieni tu muda utafika mtamkan wenyew huyo makonda wenu.
BABA MAKONDA USHAURI USIGOMBEE UƁUNGE SAFISHA KWANZA MIKOA MBALIMBALI
Gambo Arusha,anasehemu zake mi hy sijui kama bado ni mbunge
mheshimiwa makonda hongera sana jamani tuangalie kwa jicho la pili barabara ya olorieni mwanama tunateseka mno mno usafiri tunateseka tuko chini ya miguu yako
MAKONDA CHUKUA INCHI HII UWE RAISI. TANZANIA INAZID KUPOTEAA
Thanks😅
Sio kwamba hao madiwani ni mchongo wakuandaa
Movement for change kweli
Makonda JPM
Ndiio wabunge wakupita bila kupingwa,na kwa kuula feki madhala yaake ni hayo alipita kwa kuula ambazo hazikuwa zaake hayo ni majibu yake.
Mfuniko na pipa wote wapigaji
makonda abaki mkuu wa mkoa arusha itakua juu lakini mko changua awe mbuge mtamkosa makodaa
Mh Makonda Analichukuwa hili jimbo
Mh Makonda ni Kiongozi anaefaa kuwa Rais wa Tanzania 2030
Your in my ❤ God answer our Prayer,ipe CCM macho waone kilichobora.
Endapo Arusha watamkubali awe Mbunge wao,ombi langu Kwa mama ampe uwaziri wa Utalii au miundombinu na ujenzi.
Mtajita huyo huyobsi mwenzenu mtajikutabutumwani .
Mbunge anaishi kwa kushindana na siyo kufanya kazi pia zarao za nini kazini tumekutuma usaidie wanainchi sasa kazi yako kushindana na makonda hivi mjomba umetaka kuwa mbunge iri kuja kushindana na makonda na siyo kufanya kazi na wanainchi hapo ulipo unasema makonda mbaya kumbe wewe upo na maisha ya mashindano na siyo kufanya kazi
Yn kumbe huyu Gambo alikua amefucha makucha yke ss ndo tunaiona tabia yke halisi hafai kuongoza kabsa anavinyongo htr
Nakushauri makonda usigombee ubunge arusha baki na ukuu wako wa mkoa utapata cheo kingine zaidi ya ubunge endelea na ukuu wako wa mkoa mtaka.vyote hukosa vyote baki hapo ulipo
Nakuomba mwanangu achana na ubunge Arusha we ni mkuu wa kuongoza sehemu kubwa cio jimbo.
Mnachofanya kukosoana hadharani ni utoto na mnaidharilisha Serikali
kila mtu anatafuta sifa kwa mwenzake acheni hayo mambo huo ni utoto
atutaki kusikia hayo mambo maana ni aibu
Mbunge sio meya wala mkurugenzi mseme anakwamisha maendeleo
Kwani mbunge ndio amekula hizo pesa😳
makonda kwa ushauri wangu niamini mm mh nakuomba usiendeleze ligi na mh mbunge Gambo sio kama unavyozan kaka baki kwako haki ya Mungu utanikumbuka hio sio saw ccm kwa ccm mnatafuta ubaya kwa nguvu wakati gambo na ww ni kitu kimoja kumbuka ww na mh nape mmoja alibaki madarakan namwingine alitoka madarakan fikiria kaka bado tunakupenda mnachokifanya Mungu yupo upande wa haki wenda nakosea kukushauri nisamehee mkuu wangu wamkoa ila fikiria vema embu mm
Abed sawa umeongea lakin mm binafsi cjakwelewa ata kidogo unamanisha nn, hapa kitu cha msingi tunachokiangalia ni UTAWALA BORA wenye kuleta Refraction kwa Wannanchi na si vingnevyo. Acha mh Mkuu wa Mkoa apige kazi pengnge ww kama humwelewi unae mwelewa ni Mbunge bac komaa na Mbunge wako.
Uyo atakuja kupotea kwenye siasa si Muda mm nipo pale
Makonda usijidanganye kamwe , Nenda kagombee kwenu au pale pale Kigamboni hapo utoweza kupita
Madiwani wanafki watupu.
Haya sasa LEMA nafasi nyeupeeee njia nyeupeeee ileeee GAMBO ameshakataliwa na madiwani wake tyl😂😂😂😂😂🙌
Akigombea Makonda, Lema hapati nafasi Arusha
@shebymwingirasheby3328 Kwasababu ameshawamezesha ujinga wananchi hamna anachokifanya Makonda tutoke huo unafiki kumsema mtu mwenye makosa hadharani sio kutatua tatizo kama hujui anajisafishia njia mwenyewe aonekane mwema sanaa kwa kuwaponda watu wengine Hali ya kuwa yeye mwenyewe ana maovu yake ya wazi wazi tu watu wanaogopa kumsema
@@shebymwingirasheby3328Kumpa Lema nafasi ya ubunge ni = kuitumbukiza shilingi kwenye tundu la kichuguu!!!!
@@shebymwingirasheby3328Kumpa Lema nafasi ya ubunge ni = kuitumbukiza shilingi kwenye tundu la kichuguu!!!!
Huyo akagombee kwao ,hapo Arusha yatamkuta ya kigamboni!
Samia pekee ndo kiongozi,nyie ni wezi tu,na gambo wote
Gambo siyo kiongozi ni kanjanja tu alipita na upepo wa magufuli
Mijitu ya arusha hainaga akili